1
Mattayo MT. 22:37-39
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Amri ya kwanza na iliyo kuu ndiyo hii. Na ya pili yafanana nayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Jämför
Utforska Mattayo MT. 22:37-39
2
Mattayo MT. 22:40
Amri hizi mbili yazitegemea torati yote nao manabii.
Utforska Mattayo MT. 22:40
3
Mattayo MT. 22:14
Kwa maana wengi waitwao, wateule wachache.
Utforska Mattayo MT. 22:14
4
Mattayo MT. 22:30
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaozwi, bali huwa kama malaika wa Mungu mbinguni.
Utforska Mattayo MT. 22:30
5
Mattayo MT. 22:19-21
Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Akawaambia, Ya nani sanamu hii, na anwani hii? Wakamwambia, Ya Kaisari. Akawaambia, Bassi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.
Utforska Mattayo MT. 22:19-21
Hem
Bibeln
Planer
Videor