← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 4:19
Yesu: Bendera Wetu wa Ushindi
Siku 7
Tunapo sherehekea Pasaka, tunasherehekea ushindi mkuu katika historia. Kupitia kifo cha Yesu na kufufuka, alishinda nguvu ya dhambi na kaburi, na athari zake zote, na alichagua kushiriki ushindi huo nasi. Pasaka hii, hebu tuangalie baadhi ya ngome alizozishinda, angalia vita alivyovipiga kwa ajili yetu, na umsifu kama bendera ya ushindi wetu.
Bidii
Wiki 1
Jifunze jinsi Bibilia inavyo sema kuhusu ujasiri na kujiamini. "Bidii" mpango wa usomaji unaimarisha waamini pamoja na kumbukumbu ya jinsi walivyo ndani ya Kristo pia ndani ya ufalme wa Mungu. Wakati ambapo tukua wa Mungu, tuna uhuru ya ku msogelea mara moja. Soma tena — ama kwa mara ya kwanza — uhakika kama nafasi yako ndani ya jamaa ya Mungu imehakikishwa.