1
1 Samweli 12:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini hakikisheni mnamcha Mwenyezi Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu.
Linganisha
Chunguza 1 Samweli 12:24
2
1 Samweli 12:22
Kwa ajili ya jina lake kuu Mwenyezi Mungu hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza Mwenyezi Mungu kuwafanya watu wake mwenyewe.
Chunguza 1 Samweli 12:22
3
1 Samweli 12:20
Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache Mwenyezi Mungu, bali mtumikieni Mwenyezi Mungu kwa moyo wote.
Chunguza 1 Samweli 12:20
4
1 Samweli 12:21
Msigeukie sanamu batili. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Chunguza 1 Samweli 12:21
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video