1
Amosi 7:14-15
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Amosi akamjibu Amazia, “Mimi sikuwa nabii wala mwana wa nabii, lakini nilikuwa mchungaji wa kondoo na mtunza mikuyu. Lakini Mwenyezi Mungu akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’
Linganisha
Chunguza Amosi 7:14-15
2
Amosi 7:8
Naye Mwenyezi Mungu akaniuliza, “Je, Amosi unaona nini?” Nikamjibu, “Uzi wa timazi.” Kisha Bwana akasema, “Tazama, ninaweka uzi wa timazi miongoni mwa watu wangu Israeli; sitawahurumia tena.
Chunguza Amosi 7:8
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video