1
Kumbukumbu 26:19
Neno: Bibilia Takatifu
Ametangaza kwamba atawaweka juu kuliko mataifa mengine aliyoyafanya katika sifa, kuwa fahari na heshima, na kwamba mtakuwa taifa takatifu kwa BWANA Mungu wenu, kama alivyoahidi.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu 26:19
2
Kumbukumbu 26:18
Naye BWANA ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya thamani kama alivyoahidi, ili kwamba mpate kuyashika maagizo yake yote.
Chunguza Kumbukumbu 26:18
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video