Kumbukumbu la Sheria 26:18
Kumbukumbu la Sheria 26:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Mwenyezi-Mungu ametamka rasmi leo hii kwamba nyinyi ni watu wake yeye mwenyewe kama alivyowaahidi na kwamba mnatakiwa kushika amri zake zote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 26Kumbukumbu la Sheria 26:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
naye BWANA amekuungama hivi leo kuwa taifa iliyotengwa iwe yake yeye, kama alivyokuahidi, na kuwa yakupasa kushika maagizo yake yote
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 26