1
Kutoka 29:45-46
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ndipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao. Nao watajua kuwa Mimi Ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wao.
Linganisha
Chunguza Kutoka 29:45-46
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video