1
Ezekieli 39:29
Neno: Bibilia Takatifu
Sitawaficha tena uso wangu, kwa maana nitamimina Roho wangu juu ya nyumba ya Israeli, asema BWANA Mwenyezi.”
Linganisha
Chunguza Ezekieli 39:29
2
Ezekieli 39:28
Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi BWANA, Mungu wao, ingawa niliwapeleka uhamishoni miongoni mwa mataifa, nitawakusanya tena katika nchi yao wenyewe, bila kumwacha yeyote nyuma.
Chunguza Ezekieli 39:28
3
Ezekieli 39:25
“Kwa hiyo hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Sasa nitamrudisha Yakobo kutoka utumwani, nami nitawahurumia watu wote wa Israeli, nami nitakuwa na wivu kwa ajili ya Jina langu takatifu.
Chunguza Ezekieli 39:25
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video