1
Waebrania 1:3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwana ni mng’ao wa utukufu wa Mungu na mfano halisi wa nafsi yake, akivihifadhi vitu vyote kwa neno lake lenye uweza. Baada ya kufanya utakaso kwa ajili ya dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Aliye Mkuu huko mbinguni.
Linganisha
Chunguza Waebrania 1:3
2
Waebrania 1:1-2
Zamani, Mungu alisema na baba zetu kupitia kwa manabii mara nyingi na kwa njia mbalimbali, lakini katika siku hizi za mwisho anasema nasi kupitia kwa Mwanawe, ambaye amemweka kuwa mrithi wa vitu vyote, na ambaye kupitia kwake aliuumba ulimwengu.
Chunguza Waebrania 1:1-2
3
Waebrania 1:14
Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?
Chunguza Waebrania 1:14
4
Waebrania 1:10-11
Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Mwenyezi Mungu, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.
Chunguza Waebrania 1:10-11
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video