1
Yeremia 30:17
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini nitakurudishia afya yako na kuyaponya majeraha yako,’ asema BWANA, ‘kwa sababu umeitwa mwenye kutupwa, Sayuni ambaye hakuna yeyote anayekujali.’
Linganisha
Chunguza Yeremia 30:17
2
Yeremia 30:19
Nyimbo za kushukuru zitatoka kwao na sauti ya furaha. Nitaiongeza idadi yao wala hawatapungua, nitawapa heshima na hawatadharauliwa.
Chunguza Yeremia 30:19
3
Yeremia 30:22
‘Kwa hiyo ninyi mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.’ ”
Chunguza Yeremia 30:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video