1
Yeremia 42:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Likiwa jema au likiwa baya, tutamtii Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, ambaye tunakutuma kwake, ili mambo yote yawe mema kwetu, kwa maana tutamtii Mwenyezi Mungu, Mungu wetu.”
Linganisha
Chunguza Yeremia 42:6
2
Yeremia 42:11-12
Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema Mwenyezi Mungu, kwa kuwa niko pamoja nanyi, nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mkononi mwake. Nitawaonea huruma ili naye awe na huruma kwenu na kuwarudisha katika nchi yenu.’
Chunguza Yeremia 42:11-12
3
Yeremia 42:3
Omba ili Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atuambie twende wapi na tufanye nini.”
Chunguza Yeremia 42:3
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video