1
Ayubu 11:18
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; utatazama pande zote na kupumzika kwa salama.
Linganisha
Chunguza Ayubu 11:18
2
Ayubu 11:13-15
“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake na kumwinulia mikono yako, ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako, wala usiuruhusu uovu ukae kwenye hema lako, ndipo utainua uso wako bila aibu; utasimama imara bila hofu.
Chunguza Ayubu 11:13-15
3
Ayubu 11:16-17
Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. Maisha yako yatang’aa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri.
Chunguza Ayubu 11:16-17
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video