1
Ayubu 3:25
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lile nililokuwa nikiogopa limenijia; lile nililokuwa nikihofia limenipata.
Linganisha
Chunguza Ayubu 3:25
2
Ayubu 3:26
Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.”
Chunguza Ayubu 3:26
3
Ayubu 3:1
Baada ya jambo hili, Ayubu akafumbua kinywa chake na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake.
Chunguza Ayubu 3:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video