1
Yona 1:3
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini Yona alimkimbia BWANA na kuelekea Tarshishi. Alishuka mpaka Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda melini na kuelekea Tarshishi ili kumkimbia BWANA.
Linganisha
Chunguza Yona 1:3
2
Yona 1:17
Lakini BWANA akamwandaa nyangumi kummeza Yona, naye Yona alikuwa ndani ya tumbo la nyangumi kwa siku tatu, usiku na mchana.
Chunguza Yona 1:17
3
Yona 1:12
Akawajibu, “Niinueni mnitupe baharini, nayo itakuwa shwari. Ninajua mawimbi haya makubwa yamewatokea kwa ajili ya kosa langu.”
Chunguza Yona 1:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video