1
Maombolezo 3:22-23
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa sababu ya upendo mkuu wa Mwenyezi Mungu, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu.
Linganisha
Chunguza Maombolezo 3:22-23
2
Maombolezo 3:24
Nimeiambia nafsi yangu, “Mwenyezi Mungu ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”
Chunguza Maombolezo 3:24
3
Maombolezo 3:25
Mwenyezi Mungu ni mwema kwa wale wanaomtumaini, na kwa yule anayemtafuta
Chunguza Maombolezo 3:25
4
Maombolezo 3:40
Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, na tumrudie Mwenyezi Mungu.
Chunguza Maombolezo 3:40
5
Maombolezo 3:57
Ulikuja karibu nilipokuita, nawe ukasema, “Usiogope.”
Chunguza Maombolezo 3:57
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video