1
Walawi 20:13
Neno: Bibilia Takatifu
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo sana. Lazima wauawe; nayo damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Linganisha
Chunguza Walawi 20:13
2
Walawi 20:7
“ ‘Jitakaseni basi, nanyi kuweni watakatifu, kwa sababu mimi ndimi BWANA Mungu wenu.
Chunguza Walawi 20:7
3
Walawi 20:26
Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, BWANA, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka mataifa kuwa wangu mwenyewe.
Chunguza Walawi 20:26
4
Walawi 20:8
Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi BWANA, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Chunguza Walawi 20:8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video