1
Wafilipi 1:6
Neno: Bibilia Takatifu
Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Kristo Yesu.
Linganisha
Chunguza Wafilipi 1:6
2
Wafilipi 1:9-10
Haya ndiyo maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote, ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo
Chunguza Wafilipi 1:9-10
3
Wafilipi 1:21
Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Chunguza Wafilipi 1:21
4
Wafilipi 1:3
Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.
Chunguza Wafilipi 1:3
5
Wafilipi 1:27
Lakini lolote litakalotukia, mwenende kama ipasavyo Injili ya Kristo, ili kwamba nikija na kuwaona au ikiwa sipo, nipate kusikia haya juu yenu: Kuwa mnasimama imara katika roho moja, mkiishindania imani ya Injili kwa umoja
Chunguza Wafilipi 1:27
6
Wafilipi 1:20
Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Kristo atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.
Chunguza Wafilipi 1:20
7
Wafilipi 1:29
Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake
Chunguza Wafilipi 1:29
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video