Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 1:20

Wafilipi 1:20 NEN

Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Kristo atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 1:20