1
Mithali 1:7-8
Neno: Bibilia Takatifu
Kumcha BWANA ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.
Linganisha
Chunguza Mithali 1:7-8
2
Mithali 1:32-33
Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Chunguza Mithali 1:32-33
3
Mithali 1:5
wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo
Chunguza Mithali 1:5
4
Mithali 1:10
Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao.
Chunguza Mithali 1:10
5
Mithali 1:1-4
Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara; kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana
Chunguza Mithali 1:1-4
6
Mithali 1:28-29
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata. Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha BWANA
Chunguza Mithali 1:28-29
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video