1
Mithali 24:3
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa
Linganisha
Chunguza Mithali 24:3
2
Mithali 24:17
Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie.
Chunguza Mithali 24:17
3
Mithali 24:33-34
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Chunguza Mithali 24:33-34
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video