Methali 24:17
Methali 24:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake
Shirikisha
Soma Methali 24