1
Zaburi 1:1-2
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Heri mtu yule ambaye haendi katika shauri la watu waovu, wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, au kuketi katika baraza la wenye mizaha. Bali huifurahia Torati ya Mwenyezi Mungu, naye huitafakari hiyo Torati usiku na mchana.
Linganisha
Chunguza Zaburi 1:1-2
2
Zaburi 1:3
Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, ambao huzaa matunda kwa majira yake na majani yake hayanyauki. Lolote afanyalo hufanikiwa.
Chunguza Zaburi 1:3
3
Zaburi 1:6
Kwa maana Mwenyezi Mungu huziangalia njia za mwenye haki, bali njia za waovu zitaangamia.
Chunguza Zaburi 1:6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video