1
Zaburi 2:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Linganisha
Chunguza Zaburi 2:8
2
Zaburi 2:12
Mbusu Mwana, asije akakasirika nawe ukaangamizwa katika njia yako, kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. Heri wote wanaomkimbilia.
Chunguza Zaburi 2:12
3
Zaburi 2:2-3
Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya dhidi ya Mwenyezi Mungu na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Chunguza Zaburi 2:2-3
4
Zaburi 2:10-11
Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia. Mtumikieni Mwenyezi Mungu kwa hofu na mshangilie kwa kutetemeka.
Chunguza Zaburi 2:10-11
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video