1
Zaburi 3:3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ni ngao yangu pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 3:3
2
Zaburi 3:4-5
Ninamlilia Mwenyezi Mungu kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Mwenyezi Mungu hunitegemeza.
Chunguza Zaburi 3:4-5
3
Zaburi 3:8
Kwa maana wokovu watoka kwa Mwenyezi Mungu. Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Chunguza Zaburi 3:8
4
Zaburi 3:6
Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande.
Chunguza Zaburi 3:6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video