1
Zaburi 4:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee Mwenyezi Mungu, waniwezesha kukaa kwa salama.
Linganisha
Chunguza Zaburi 4:8
2
Zaburi 4:4
Katika hasira yako, usitende dhambi. Tulieni kimya mkiwa vitandani mwenu, mkiichunguza mioyo yenu.
Chunguza Zaburi 4:4
3
Zaburi 4:1
Nijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki! Nipumzishe katika shida zangu; nirehemu, usikie ombi langu.
Chunguza Zaburi 4:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video