Zaburi 2:10-11
Zaburi 2:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa enyi wafalme, tumieni busara; sikilizeni onyo hili, enyi watawala wa dunia. Mtumikieni Mwenyezi-Mungu kwa uchaji
Shirikisha
Soma Zaburi 2Zaburi 2:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sasa, enyi wafalme, iweni na hekima, Enyi watawala wa dunia, mwaonywa. Mtumikieni BWANA kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka.
Shirikisha
Soma Zaburi 2