1
Zaburi 102:2
Neno: Bibilia Takatifu
Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi.
Linganisha
Chunguza Zaburi 102:2
2
Zaburi 102:1
Ee BWANA, usikie maombi yangu, kilio changu cha kuomba msaada kikufikie.
Chunguza Zaburi 102:1
3
Zaburi 102:12
Lakini wewe, Ee BWANA, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.
Chunguza Zaburi 102:12
4
Zaburi 102:17
Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.
Chunguza Zaburi 102:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video