1
Zaburi 145:18
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 145:18
2
Zaburi 145:8
Mwenyezi Mungu ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo.
Chunguza Zaburi 145:8
3
Zaburi 145:9
Mwenyezi Mungu ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.
Chunguza Zaburi 145:9
4
Zaburi 145:3
Mwenyezi Mungu ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki.
Chunguza Zaburi 145:3
5
Zaburi 145:13
Ufalme wako ni ufalme wa milele, mamlaka yako hudumu vizazi vyote. Mwenyezi Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake zote na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Chunguza Zaburi 145:13
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video