1
Zaburi 26:2-3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ee Mwenyezi Mungu, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako.
Linganisha
Chunguza Zaburi 26:2-3
2
Zaburi 26:1
Ee Mwenyezi Mungu, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Mwenyezi Mungu bila kusitasita.
Chunguza Zaburi 26:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video