1
Zaburi 27:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mngojee Mwenyezi Mungu; uwe hodari na mwenye moyo mkuu, na umngojee Mwenyezi Mungu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 27:14
2
Zaburi 27:4
Jambo moja ninamwomba Mwenyezi Mungu, hili ndilo ninalolitafuta: niweze kukaa nyumbani mwa Mwenyezi Mungu siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wa Mwenyezi Mungu na kumtafuta hekaluni mwake.
Chunguza Zaburi 27:4
3
Zaburi 27:1
Mwenyezi Mungu ni nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani? Mwenyezi Mungu ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani?
Chunguza Zaburi 27:1
4
Zaburi 27:13
Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa Mwenyezi Mungu katika nchi ya walio hai.
Chunguza Zaburi 27:13
5
Zaburi 27:5
Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama katika maskani yake, atanificha uvulini mwa hema lake, na kuniweka juu kwenye mwamba.
Chunguza Zaburi 27:5
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video