1
Zaburi 80:19
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, uturejeshe; utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa.
Linganisha
Chunguza Zaburi 80:19
2
Zaburi 80:3
Ee Mungu, uturejeshe, utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa.
Chunguza Zaburi 80:3
3
Zaburi 80:18
Ndipo hatutakuacha tena, utuhuishe, nasi tutaliitia jina lako.
Chunguza Zaburi 80:18
4
Zaburi 80:7
Ee Mungu wa majeshi ya mbinguni, uturejeshe; utuangazie uso wako, nasi tuweze kuokolewa.
Chunguza Zaburi 80:7
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video