1
Zaburi 81:10
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mimi ni Mwenyezi Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Linganisha
Chunguza Zaburi 81:10
2
Zaburi 81:13-14
“Laiti watu wangu wangenisikiliza, laiti Israeli wangefuata njia zangu, ningewatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!
Chunguza Zaburi 81:13-14
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video