1
Sefania 1:18
Neno: Bibilia Takatifu
Fedha yao wala dhahabu yao hazitaweza kuwaokoa katika siku hiyo ya ghadhabu ya BWANA. Katika moto wa wivu wake dunia yote itateketezwa, kwa maana ataleta mwisho wa wote wanaoishi katika dunia ghafula.”
Linganisha
Chunguza Sefania 1:18
2
Sefania 1:14
“Siku kubwa ya BWANA iko karibu: iko karibu na inakuja haraka. Sikilizeni! Kilio katika siku ya BWANA kitakuwa kichungu, hata shujaa atapiga kelele.
Chunguza Sefania 1:14
3
Sefania 1:7
Nyamazeni mbele za BWANA Mwenyezi, kwa maana siku ya BWANA iko karibu. BWANA ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika.
Chunguza Sefania 1:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video