1
Ebr 2:18
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Na kwa kuwa mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa.
Linganisha
Chunguza Ebr 2:18
2
Ebr 2:14
Basi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi
Chunguza Ebr 2:14
3
Ebr 2:1
Kwa hiyo imetupasa kuyaangalia zaidi hayo yaliyosikiwa tusije tukayakosa.
Chunguza Ebr 2:1
4
Ebr 2:17
Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.
Chunguza Ebr 2:17
5
Ebr 2:9
ila twamwona yeye aliyefanywa mdogo punde kuliko malaika, yaani, Yesu, kwa sababu ya maumivu ya mauti, amevikwa taji ya utukufu na heshima, ili kwa neema ya Mungu aionje mauti kwa ajili ya kila mtu.
Chunguza Ebr 2:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video