1
Ayu 11:18
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Nawe utakuwa salama, kwa sababu kuna matumaini; Naam, utatafuta-tafuta kando yako, na kupumzika katika salama.
Linganisha
Chunguza Ayu 11:18
2
Ayu 11:13-15
Wewe ukiuweka moyo wako kwa uelekevu, Na kumnyoshea mikono yako; Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako; Hakika ndipo utakapopata kuinua uso pasipo ila; Naam, utathibitika, wala hutakuwa na hofu
Chunguza Ayu 11:13-15
3
Ayu 11:16-17
Kwa kuwa utasahau mashaka yako; Utayakumbuka kama maji yaliyokwisha pita; Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Lijapokuwa ni giza, litakuwa kama alfajiri.
Chunguza Ayu 11:16-17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video