1
Law 10:1
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Na Nadabu na Abihu, wana wa Haruni, wakatwaa kila mtu chetezo chake, wakatia moto ndani yake, wakatia na uvumba, nao wakatoa moto wa kigeni mbele ya BWANA, ambao yeye hakuwaagiza.
Linganisha
Chunguza Law 10:1
2
Law 10:3
Ndipo Musa akamwambia Haruni, Jambo hili ni hilo BWANA alilolinena, akisema, Nitatakaswa mimi katika hao wanikaribiao, nami nitatukuzwa mbele ya watu hao wote. Haruni akanyamaza kimya.
Chunguza Law 10:3
3
Law 10:2
Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, nao ukawala, nao wakafa mbele za BWANA.
Chunguza Law 10:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video