1
Mik 1:3
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa maana, angalieni, BWANA anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.
Linganisha
Chunguza Mik 1:3
2
Mik 1:1
Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Mika, Mmorashti, katika siku za Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; maono aliyoyaona katika habari za Samaria, na Yerusalemu.
Chunguza Mik 1:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video