1
Zab 107:1
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Linganisha
Chunguza Zab 107:1
2
Zab 107:20
Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.
Chunguza Zab 107:20
3
Zab 107:8-9
Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu. Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Chunguza Zab 107:8-9
4
Zab 107:28-29
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. Huituliza dhoruba, ikawa shwari, Mawimbi yake yakanyamaza.
Chunguza Zab 107:28-29
5
Zab 107:6
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Chunguza Zab 107:6
6
Zab 107:19
Chunguza Zab 107:19
7
Zab 107:13
Chunguza Zab 107:13
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video