Zaburi 107:28-29
Zaburi 107:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo katika taabu zao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso zao. Aliifanya ile dhoruba kali itulie, nayo mawimbi yakanyamaza.
Shirikisha
Soma Zaburi 107Zaburi 107:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya kutoka kwa shida zao. Huituliza dhoruba, ikawa shwari, Mawimbi yake yakanyamaza.
Shirikisha
Soma Zaburi 107