1
Zab 40:1-2
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
Linganisha
Chunguza Zab 40:1-2
2
Zab 40:3
Akatia wimbo mpya kinywani mwangu, Ndio sifa zake Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa, Nao watamtumaini BWANA
Chunguza Zab 40:3
3
Zab 40:4
Heri aliyemfanya BWANA kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi, Wala hao wanaogeukia uongo.
Chunguza Zab 40:4
4
Zab 40:8
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Chunguza Zab 40:8
5
Zab 40:11
Nawe, BWANA, usinizuilie rehema zako, Fadhili zako na kweli yako na zinihifadhi daima.
Chunguza Zab 40:11
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video