1
Waraka kwa Waebrania 1:3
Swahili Revised Union Version
Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wa Mungu na chapa kamili ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi katika mkono wa kulia wa Ukuu huko juu
Linganisha
Chunguza Waraka kwa Waebrania 1:3
2
Waraka kwa Waebrania 1:1-2
Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi, mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
Chunguza Waraka kwa Waebrania 1:1-2
3
Waraka kwa Waebrania 1:14
Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?
Chunguza Waraka kwa Waebrania 1:14
4
Waraka kwa Waebrania 1:10-11
Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako; Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo
Chunguza Waraka kwa Waebrania 1:10-11
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video