1
Ayubu 17:9
Swahili Revised Union Version
Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.
Linganisha
Chunguza Ayubu 17:9
2
Ayubu 17:3
Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?
Chunguza Ayubu 17:3
3
Ayubu 17:1
Roho yangu imezimia, siku zangu zimekoma, Kaburi i tayari kunipokea.
Chunguza Ayubu 17:1
4
Ayubu 17:11-12
Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu. Wabadili usiku kuwa mchana; Wasema, Mwanga u karibu kwa sababu ya giza.
Chunguza Ayubu 17:11-12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video