1
Hesabu 6:24-26
Swahili Revised Union Version
BWANA akubariki, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.
Linganisha
Chunguza Hesabu 6:24-26
2
Hesabu 6:27
Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabariki.
Chunguza Hesabu 6:27
3
Hesabu 6:23
Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabariki wana wa Israeli; mtawaambia
Chunguza Hesabu 6:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video