1
Yohana 4:24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mungu ni roho. Hivyo wote wanaomwabudu wanapaswa kumwabudu katika roho na kweli.”
Linganisha
Chunguza Yohana 4:24
2
Yohana 4:23
Lakini wakati unakuja wenye nia halisi ya kuabudu watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa hakika, wakati huo sasa umekwishafika. Na hao ndiyo watu ambao Baba anataka wamwabudu.
Chunguza Yohana 4:23
3
Yohana 4:14
Bali yeyote anayekunywa maji ninayompa mimi hatapata kiu tena. Maji ninayowapa watu yatakuwa kama chemichemi inayobubujika ndani yao. Hayo yatawaletea uzima wa milele.”
Chunguza Yohana 4:14
4
Yohana 4:10
Yesu akajibu, “Hujui kile Mungu anachoweza kukukirimu. Na hunijui mimi ni nani, niliyekuomba maji ninywe. Kama ungejua, nawe ungekuwa umeniomba tayari, nami ningekupa maji yaletayo uzima.”
Chunguza Yohana 4:10
5
Yohana 4:34
Yesu akasema, “Chakula changu ni kuimaliza kazi ile ambayo aliyenituma amenipa niifanye.
Chunguza Yohana 4:34
6
Yohana 4:11
Mwanamke akasema, “Bwana, utayapata wapi maji yaliyo hai? Kisima hiki kina chake ni kirefu sana, nawe huna kitu cha kuchotea.
Chunguza Yohana 4:11
7
Yohana 4:25-26
Mwanamke akasema, “Naelewa kwamba Masihi anakuja.” (Ndiye anayeitwa Kristo.) “Atakapokuja, atatufafanulia kila kitu.” Kisha Yesu akasema, “Mimi ninayezungumza nawe sasa, ndiye Masihi.”
Chunguza Yohana 4:25-26
8
Yohana 4:29
“Mwanaume mmoja amenieleza mambo yote niliyowahi kuyafanya. Njooni mkamwone. Inawezekana yeye ndiye Masihi.”
Chunguza Yohana 4:29
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video