1
Marko 1:35
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Asubuhi na mapema, ilipokuwa giza na bado hakujapambazuka, Yesu aliamka na kutoka kwenye nyumba ile na kwenda mahali ili awe peke yake na kuomba.
Linganisha
Chunguza Marko 1:35
2
Marko 1:15
Akasema, “Wakati umefika. Ufalme wa Mungu umewafikia. Mbadili mioyo yenu na maisha yenu, na kuiamini habari njema!”
Chunguza Marko 1:15
3
Marko 1:10-11
Mara tu aliposimama kutoka ndani ya maji, Yesu aliona mpasuko ukitokea angani, akamwona Roho akishuka chini kuja kwake kama njiwa. Sauti ikasikika toka mbinguni, “Wewe ni mwanangu, ninayekupenda, napendezwa nawe sana.”
Chunguza Marko 1:10-11
4
Marko 1:8
Mimi nawabatiza katika maji, lakini yeye huyo atawabatiza katika Roho Mtakatifu.”
Chunguza Marko 1:8
5
Marko 1:17-18
Yesu akawaambia, “njooni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa aina nyingine, nitawafundisha jinsi ya kukusanya watu badala ya samaki.” Mara moja, Simoni na Andrea wakaziacha nyavu zao na kumfuata.
Chunguza Marko 1:17-18
6
Marko 1:22
Walishangaa sana namna alivyokuwa akifundisha. Hakufundisha kama walimu wao wa sheria; alifundisha kwa mamlaka.
Chunguza Marko 1:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video