Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo. Bassi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya: akanena, Je, yamekuelea haya unayosoma? Akasema, Nitawezaje kuelewa, mtu asiponiougoza? Akamsihi Filipo apande na kuketi pamoja nae.