1
Mattayo MT. 27:46
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Na kama saa tissa, Yesu akapaaza sauti yake kwa nguvu akinena, Eli, Eli, lama sabakhthani? maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Linganisha
Chunguza Mattayo MT. 27:46
2
Mattayo MT. 27:51-52
Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini: inchi ikatetema; miamba ikapasuka; makaburi yakafunuka; ikafufuka miili mingi ya watakatifu waliolala
Chunguza Mattayo MT. 27:51-52
3
Mattayo MT. 27:50
Nae Yesu akiisha kupaaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Chunguza Mattayo MT. 27:50
4
Mattayo MT. 27:54
Bassi yule akida, nao walio pamoja nae wakimwangalia Yesu, walipoliona tetemeko la inchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakinena, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Chunguza Mattayo MT. 27:54
5
Mattayo MT. 27:45
Tangu saa sita palikuwa giza juu ya inchi yote hatta saa tissa.
Chunguza Mattayo MT. 27:45
6
Mattayo MT. 27:22-23
Pilato akawaambia, Bassi, nimtendeni Yesu aitwae Kristo? Wakanena wote, Asulibiwe. Liwali akasema, Kwani? ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakinena, Asulibiwe.
Chunguza Mattayo MT. 27:22-23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video