Mathayo 27:22-23
Mathayo 27:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!” Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:22-23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Yesu aitwaye Kristo?” Wakajibu wote, “Msulubishe!” Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakazidi kupiga kelele, wakisema, “Msulubishe!”
Shirikisha
Soma Mathayo 27