Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 27:22-23

Mathayo 27:22-23 BHN

Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!” Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 27:22-23