1
1 Mose 18:14
Swahili Roehl Bible 1937
Je? Liko jambo linalomshinda Bwana? Wakati, nitakaporudi kwako, siku zizi hizi za mwaka ujao ndipo, Sara atakapokuwa mwenye mtoto wa kiume.
Linganisha
Chunguza 1 Mose 18:14
2
1 Mose 18:12
Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake kwamba: Hivyo, nguvu za mwili wangu zilivyokwisha kupotea, nitawezaje kuipata hiyo furaha? Tena bwana wangu naye ni mzee.
Chunguza 1 Mose 18:12
3
1 Mose 18:18
Maana Aburahamu atakuwa taifa kubwa lenye nguvu, namo mwake ndimo, mataifa yote ya nchini yatakamobarikiwa.
Chunguza 1 Mose 18:18
4
1 Mose 18:23-24
Aburahamu akafika karibu, akauliza: Utamwondoa mwongofu pamoja naye asiyekucha? Labda mle mjini wamo waongofu 50; basi, utawaondoa nao? Hutapahurumia mahali hapo kwa ajili ya waongofu 50 waliopo?
Chunguza 1 Mose 18:23-24
5
1 Mose 18:26
Bwana akasema: Kama nitawaona waongofu 50 mle mjini mwa Sodomu, nitapahurumia mahali pale pote kwa ajili yao.
Chunguza 1 Mose 18:26
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video